Unknown Unknown Author
Title: ZITTO KABWE:SIYAJUI MAKOSA YANGU;LABDA NI URAI NA MABILIONI YA USWISI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Akizungumza katika mahojiano maalum,Zitto Kabwe amesema hadi sasa bado haja pokea tuhuma 11 anazo kabiliwa nazo,Hivyo hayajui makosa hayo na...
Akizungumza katika mahojiano maalum,Zitto Kabwe amesema hadi sasa bado haja pokea tuhuma 11 anazo kabiliwa nazo,Hivyo hayajui makosa hayo na bado anasubiri akabidhiwe kwa maandishi.Asema 'Mahasimu wake kisiasa wameamua kuungana ili kumudhoofisha kisiasa kwa masrahi yao'.
"Matatizo yaliyopo ni mafanikio yangu... Nadhani hii siyo vita kati ya Zitto na CHADEMA bali ni vita ya watu wengi,Pengine magenge ya wanao utaka urais na wale walio ficha fedha Uswisi wamekaa pamoja wakaona tatizo lao ni Zitto... Wanajua siwezi kusemea Nje Maana Sina kinga..... Hivyo wana taka kuniondoa bungeni"
Alizidikusema Kwenye siasa kinacho Takiwa ni kusimamia Misingi.....
Chanzo:Mwananchi

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top