Unknown Unknown Author
Title: BINTI WA MAKAMBA:MWAMVITA AMRUSHIA DONGO MREMBO ALIYE KAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA CHINA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
   Pichani ni Jackie Cliff na Rafiki yake Katika Ukurasa wake wa Tweeter Mwamvita Makamba ameandika Maneno Haya: "GIRLS;KAMA HUNA...
   Pichani ni Jackie Cliff na Rafiki yake

Katika Ukurasa wake wa Tweeter Mwamvita Makamba ameandika Maneno Haya:

"GIRLS;KAMA HUNA AKILI,
HUJASOMA NA HUNA KAZI,
KAMA NI MVIVU NA SIO MBUNIFU,
MPENDA DEZO,HUNA UWEZO
HONEST LIVING MARA MIA BUZI SIO SEMBE".

Post yake Hiyo imekuja mara tu baada ya Habari za Mtanzania Jackie Cliff(28),Kukamatwa na Madawa ya Kulevya nchini China aina ya Heroine,Kilo 1.1 akiwa na Wenzake walio kimbia baada ya kuona mwenzao amekamatwa,Ina semekana Mmoja ni Mnigeria na Mwingine ni Mtanzania kati ya hao walio kimbia.

#Sisi Timu nzima ya MJUMBE BLOG tuna Sema:
Don't Try,This at Home;result may vary!

 Mjumbe

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top