Kutokana na minong'o,mijadala na maswali kutoka katika mitandao ya kijamii;Iliyo Muhusisha Maggid Mjengwa,Chris Lukosi na Mchungaji Msigwa na Upotevu wa Rambirambi za wana chama wa CHADEMA waishio UK,Kume mufanya Mratibu wa michango hiyo avunje ukimya na kuamua kuandika haya!
"kwakufatilia mjadala kwenye maada hii mtandaoni nime ona dhahiri,kuwa wasio nitakia mema wame anza za kuliingiza jina langu na rekodi yangu ya kujitahidi kishi na kutenda yaliyo mema na kwa uadilifu.Na mengine si yakuyapuuzia,Maana kuna wenye kuuamini upuuzi pia,ndio sababu nimeamua kuuweka ukweli wangu hapa....
Baada ya kuuawa kinyama kwa rafiki na mwanafamilia mwenzetu katika tathinia ya habari Daudi Mwangosi,Niliitisha harambee katika Mjengwa Blog ili kumsaidia mjane wa Marehemu na watoto wake.
Yafuatayo yawe wazi!
1.Nikweli kuwa Cris Lukosi kupitia nduguye Augostino Lukosi aliniingizia shilingi milioni moja kwenye akaunti yangu ya M pesa.Kama mchango wa rambirambi ulio kusanywa UK kutoka kwa wana chama wa CHADEMA na LUKOSI akiwa kama Mwenyekiti wao.
2.Kwenye Orodha ya wachangiaji niliorodhesha mchango huo kama kutoka kwa jumuiya ya wa Tanzania waishio UK.
Nikwavile kama mratibu n iliweka wazi kuwa suala hili la msiba na rambirambi halihusiani na vyama vya siasa.
3.Cris Lukosi hakukubaliana naUtaratibu huo na kunitaka nwakilishe mchango wao kwa Mchungaji Msigwa.... (Nilifanya kama alivyo nitaka Lukosi Ushaidi nina ni kiambatanisho.....)
Hitimisho:Ukweli wangu ndi huo.Hakuna hata senti ya rambi rambi ya mjane wa marehemu Mwangosi iliyopotea mikononi mwangu......
Nawashukuru nyote munao endelea kuniamini....."
Chanzo:Gazeti tando la Mjengwa
Home
»
»Unlabelled
» MAGGID MJENGWA:"WASIO NITAKIA MEMA WAME ANZA HILA... RAMBI RAMBI YA MJANE WA MWANGOSI... HAKUNA HATA SENTI YA MJANE ILIYO POTELEA MIKONONI MWANGU..."
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment