Unknown Unknown Author
Title: PUMUZIKA KWA AMANI MWENISONGOLE WETU!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Habari zilizo tufikia jioni ya leo zina sema kuwa aliye wahi kuwa muhadhiri wa Chuo Kikuu Teofilo Kisanji NA Chuo cha Uhasibu Tawi la Mbeya ...
Habari zilizo tufikia jioni ya leo zina sema kuwa aliye wahi kuwa muhadhiri wa Chuo Kikuu Teofilo Kisanji NA Chuo cha Uhasibu Tawi la Mbeya Mzee Mwenisongole Amefariki Dunia jana.Mzee Mwenisongole alikuwa akisumbuliwa na maumivu ya kichwa na mikono kufa ganzi,Mazishi yanatarajiwa kufanyika Utengule Mbeya.
TIMU NZIMA YA MJUMBE BLOG INATOA POLE KWA NDUGU NA JAMAA.
**PUMUZIKA KWA AMANI MWENISONGOLE
#Sisi Tulikupenda Lakini MUNGU amekupenda zaidi.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top