Unknown Unknown Author
Title: TAHARUKI KITU KILICHO DDHANIWA KUWA NI BOMU MAENEO YA MAZIMBU MOROGORO;RPC ATOLEA UFAFANUZI ZAIDI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wananchi wanao ishi Morogoro,Mazimbu jana walijikuta katika hali ya sinto fahamu baada ya kitu kilicho dhaniwa bomu kuonekana maeoneo ya kan...
Wananchi wanao ishi Morogoro,Mazimbu jana walijikuta katika hali ya sinto fahamu baada ya kitu kilicho dhaniwa bomu kuonekana maeoneo ya kanisani bustanini.Wataalamu walifika eneo la tukio na kuchukua chuma hicho.
RPC Moro  F Shilongile asema leo Kime kabidhiwa rasmi kwa wataalamu wa JWTZ.Ameeleza kuwa Hakuna raia aliye jeruhiwa.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top