Unknown Unknown Author
Title: TANGAZO KWA WANA MBOZI:ZIARA YA MBOZI MISION KUWATEMBELEA WATOTO YATIMA 23 DESEMBA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mratibu wa ziara hiyo Ndugu Silla Yalonde Wumbura Mwashiozya,Anapenda kuwa kumbusha Marafiki,Ndugu na Jamaa Waishio Mbozi na Wale Wenyeji...

Mratibu wa ziara hiyo Ndugu Silla Yalonde Wumbura Mwashiozya,Anapenda kuwa kumbusha Marafiki,Ndugu na Jamaa Waishio Mbozi na Wale Wenyeji wa Mbozi Popote pale walipo kuwa Kati ya Tarehe 23 Desemba na 24 Mwaka huu(Wiki mbili zijazo) kutakuwa na Ziara ya pamoja kwenda kuwa tazama watoto yatima wanao lelewa kwenye kituo cha Mbozi mision.
Mratibu wa Zoezi hilo Amesema;
"Napenda Kuwa kumbusha wote wenye nia ya dhati ya kuchangia vitu mbalimbali na fedha kwa ajili ya kuwa ona watoto yatima pale Mbozi Mision kuwa ziara ya kwenda kuwaona watoto yatima ni Mwezi Desemba Kati ya Tarehe 23 na 24..."
Hivyo kama Mudau ,Ndugu,Rafiki,jamaa ama Mtazania Unaye guswa kwa namna moja ama nyingine kwa maisha ya watoto Yatima wanao ishi katika mazingira magumu,Unaombwa Kutoa Mchango wako wa hali na mali ikiwa ni Fedha au kitu chochote ulicho nacho ili vitu vyote viwasirishwe kwa pamoja Siku hiyo.
ZINGATIO:Tayari Kuna Wawakirishi Walio teuliwa kukusanya Michango hiyo!
Silla Yalonde Wumbura Mwashiozya ana patikana Vwawa na Mwalimu Nzunda Kwa wanao wajua Hao ndio Wahusika wa Ukusanyaji.Na wengine Majina yao hayakuweza kupatikana Mara Moja.
MJUMBE BLOG Ina tanguliza Shukrani za dhati#ASANTENI NA MUNGU AWABARIKI PALE MTAKAPO CHOTA#
Na:Elasto Mbella
Mlowo

About Author

Advertisement

Post a Comment

  1. Hongereni Kwa hilo na Mungu wa Mbinguni awabariki sana.

    ReplyDelete

 
Top