WALINDA AMANI WAUAWA NCHINI SUDANI!
Umoja wa mataifa umesema walinda Amani wawili wame uawa wakati wakifanya Doria Eneo lenye Mzozo nchini Darfur Sudan.
Afisa mmoja wa Jordani na mlinda Amani wa Senegal wali uawa wakati msafara wao ulipo shambuliwa na watu wasio julikana wenye Siliaha jana,Jumapili.
Katika miezi mitano iliyo pita zaidi ya wanajeshi 12 wa kimataifa kutoka kwenye mpango wa kulinda Amani wame Uawa huko Sudani.
Eneo la Sudani limegubikwa na ghasia tangu mwaka 2013 wakati waasi walipo chukua Silaha dhidi ya serikari.Huko Khartoum wakishutumu kwa Kutengwa.
chanzo:VOA swahili
MJUMBE sr
MBEYA

Post a Comment