Unknown Unknown Author
Title: WAZIRI MKUU SOMALIA HATARILINI KUONDOLEWA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Bunge la Somalia liana anza kujadili hoja ya kuto kuwa na Imani na waziri mkuu wa nchi hiyo Abdi Shirdon ambaye amekuwa  haelewani na Rais w...
Bunge la Somalia liana anza kujadili hoja ya kuto kuwa na Imani na waziri mkuu wa nchi hiyo Abdi Shirdon ambaye amekuwa  haelewani na Rais wa nchi hiyo Hassan Sheikh Mohmud.
Bwana Shirdon hivi karibuni amekuwa akimkosoa rais wa nchi hiyo kwamba amekuwa akiongoza nchi hiyo bila kufuata katiba.
Wafasi wa Rais Hassan wamesema kuwa waziri mkuu huyo ameshindwa kutekeleza majukumu yake na uongozi wake umekuwa hauna mafanikio.
Mwandishi wa habari wa BBC aliyopo Somalia anasema mgawanyiko katika Serikari ya Somalia iliyoundwa mwaka jana,Unatishia juhudi za kuimarisha utulivu nchini humo baada ya nchi hiyo kuathirika na Mgogoro kwa Takribani Mwezi mmoja.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top