Unknown Unknown Author
Title: PICHA KUTOKA IKULU:RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AMWAPISHA IGP MPYA PAMOJA NA NAIBU WAKE;VIWANJA VYA IKULU!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
   Rais Jakaya Mrisho Kikwete Akimwapisha Inspekta Generali wa Polisi(IGP) mpya Afande Ernest Mangu katika viwanja vya Ikulu.     Rais ...
   Rais Jakaya Mrisho Kikwete Akimwapisha Inspekta Generali wa Polisi(IGP) mpya Afande Ernest Mangu katika viwanja vya Ikulu.
    Rais Jakaya Kikwete Akimpa nyenzo za Kazi naibu  Inspekta Generali Mpya Afande Abdulhaman Kaniki,katika viwanja vya Ikulu,Dar es Salaam.
   Rais Jakaya Kikwete,Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal na Katibu kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika Picha ya Pamoja na Inspekta Generali wa polisi wote Pichani Ernest Mangu na Naibu wake Abdulhaman Kaniki.
   Rais Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja akiwa na Inspekta Generali wa Polisi Ernest Mangu na Naibu wake Abdulrahman Kaniki.

MJUMBE sr
MBEYA

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top