Unknown Unknown Author
Title: TAZAMA HAPA:JANA NILIPOKEA ZAWADI NZURI SANA KUTOKA KWA RAFIKI YANGU MPENDWA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha:Baadhi ya Matunda Niliyo Letewa Kama Zawadi na Rafiki yangu Toka Njombe Pichani:Ni baadhi ya Matunda ambayo Nime Letewa na Rafik...
Picha:Baadhi ya Matunda Niliyo Letewa Kama Zawadi na Rafiki yangu Toka Njombe

Pichani:Ni baadhi ya Matunda ambayo Nime Letewa na Rafiki yangu

Matunda ya Njombe ni Mazuri sana! Yanazidi kuwa Mazuri zaidi Unapo Letewa kama zawadi na Yule Umpendae... Hakika ni Faraja sana.
Ni raha Kumpokea Rafiki kama huyu Stendi... Rafiki anaye Kumbuka Kukubebea Hata Matunda!
Jina la Mtoa Zawadi Nina Lihifadhi kwa Sababu za Ki Confidential ati....


ELASTO MBELLA
LUDEWA
AMANI

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top