Unknown Unknown Author
Title: KIJIJINI KWETU AMANI:CHEZEA WAPANGWA WEWE? IBA ILA MSALABA UTAKUFUTA PIA!.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha:Pembezoni mwa Shamba Pame wekwa Alama ya Msalaba,Ujmbe Kwa Mwizi! Mimi Nina Mshauri ajipeleke mwenyewe kabla mwenye shamba haja C...
Picha:Pembezoni mwa Shamba Pame wekwa Alama ya Msalaba,Ujmbe Kwa Mwizi!

Mimi Nina Mshauri ajipeleke mwenyewe kabla mwenye shamba haja Chukua Hatua.Haiwezekani Uanze Kuvuna Amabapo hauku panda! Umekuwa Ndege wa Angani au Nyani/Ngedere wewe?
Picha:Baadhi ya Mahindi yaliyo ibiwa mabua yake kama yanavyo onekana pichani!

Udokozi huu kama ukiendekezwa Tuta vuna mabua... Pongezi kwa Mwenye shamba kwa kuchukua hatua kali zidi ya wavamizi.

Picha Zote Na Elasto Mbella

MJUMBE Sr
LUDEWA

27 Mar 2014

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top