PICHANI NI lango la Kuingilia Uwanja Wa Wilaya Vwawa,Mbeya! Picha na Maktaba Yetu.
Inaonesha Picha Ilipigwa Tarehe 29 Marh 2013,Wilaya Ya Mbozi,Mbeya Nchini Tanzania.Mdau wa MJUMBE BLOG Katika Katiza Katiza mitaa ya Vwawa,akiwa Anaingia eneo la Ulipo Uwanja wa Wilaya Alikutana na Kituko.... Hakika Kilikuwa Kituko.Jiwe la Kuashiria Ukomo wa Miliki ya Barabara Lime wekwa ndani ya Nyumba. Tushukuru MUNGU Wenye Kuhusika Hawaja Libomoa... Kuna Mitaa Imewahi bainika Baadhi ya Wahusika Kujaribi Kuliondoa au kulisogeza Jiwe Linalo ashiria Ukomo wa Miliki ya Barabara.
SWALI:Nani Ali Mfuata Mwenzake? Bara bara au Uwanja? na Kama ni Kiwanja Wahusika wa Barabara Walikuwa wapi? Wali lala Eeh! Walisubiri Waweke X Ili wabomoe!
Teh Teh,Kuna Baadhi ya Matendo Duniani yanapatikana Nchini Tanzania Pekee.
MJUMBE sr
NJOMBE
Home
»
»Unlabelled
» KUNA BAADHI YA MATENDO DUNIANI HAPA YANA PATIKANA TANZANIA PEKEE!
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment