Ikiwa Zoezi la kumpata Mwenyekiti wa kudumu wa Bunge la katiba linaendelea Bungeni;Tiari wajumbe wanne wamesha jirtokeza kuchukua fomu kwa ajili ya nafasi ya Mweneyekiti wa Bunge la katiba,wagombea hao Majina yao ni Mhe.Samuel Sitta,Theresia Huvise,Hashimu Rungwe na John Chipia.
Kulingana na Ratiba iliyo tolewa na Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba Jana Pandu Amir Kificho,ali binisha kuwa Zoezi la kumpata Mwenyekiti wa Kudumu lita fanyika Leo 12 Februari 2014 Mida ya Saa kumi,Jioni.
Post a Comment