PICHA Ni Mali ya Maurus Mbella Dihindila
Kuna Hadithi kwamba kwa Wapogoro Bwawa la Mindu Huchukuliwa kama Bahari! Ndugu Zetu Hawa sijui kama wanajua kwamba Tuna Amini kuwa BAHARI HAINA MWISHO?
Na Hili Bwa lao mbona Ukomo Unaonekana hata kwa Macho ya Binadamu?
Kweli,Kila Mtu ana Sifia Kwao.MmmH.
MJUMBE Sr
Post a Comment