Unknown Unknown Author
Title: RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA KUZISAKA KURA JIMBO LA CHALINZE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete  akiwasalimia wakina Mama wa jamii ya watu Wafug...



Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwasalimia wakina Mama wa jamii ya watu Wafugaji (Wamasai) wakati alipowasili kwenye Kijiji cha Matuli kwa ajili ya kuendelea na Mikutano ya Kampeni zake za kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze.Picha na Othman Michuzi.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akishiriki kucheza muziki na wananchi wa Kijiji cha Matuli,Kata ya Bwilingu Machi 27, 2014,wakati wa moja ya Mikutano ya Kampeni zake za kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze.Picha na Othman Michuzi.
Chanzo:Zanzibar News
Mjumbe jr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top