TASWIRA YA STENDI MPYA YA VWAWA BAADA YA MIAKA ISIYOPUNGUA 5
Picha na Mjumbe jr
Picha ikionesha muonekano wa ndani,lami laini (lami ushenzi)imeshalika kwa kiasi kikubwa na kujaa madimbwi yanayotuamisha maji hasa katika kipindi hiki cha masika
Muonekano wa ndani kwa sehemu kidogo
jinsi inavyoonekana sehemu ya kuingilia magari
Ni miaka isiyopungua 5 tangu stendi hii ilipoanza kufanya kazi lakini hali iliyo nayo katika kipindi hiki ukiishuhudia huwezi kukubaliana na maneno ya Mjumbe kua ina miaka isiyopungua 5..
Ubora wake ni wa kiwango kisichoridhisha kwani matumizi yake hayawiani na jinsi inavyonekana kwa sasa..hii ndio Mbozi yetu,na hii ndio Tanzania Yetu.
Na Mjumbe Jr
Post a Comment