Unknown Unknown Author
Title: VURUGU ZANZIBAR.....!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kwa mujibun...


Kwa mujibunnwa taarifa za mitandaoni huko Zanzibar kumetokea vurugu,kupiga mawe magari ya serikali huku wafanyakazi wa serikali wakijeruhiwa .. Picha hapo juu inaonesha gari la Katibu mkuu wizara ya fedha na uchumi mheshimiwa Khamis Musa likiwa limepinduliwa, katika gari hakuwemo katibu hyuo mkuu bali  alikuemo dereva wake ambae mpaka sasa hali yake ina endelea vizuri!
chanzo:Mitandao ya kijamii 


MJUMBE sr




About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top