Unknown Unknown Author
Title: ASANTE SANA MAMA GABI ASANTE MAMA MISANA:WEE! UNATAKA UTUPIGE PICHA HIVI TULIVYO.... MAMA BEN NA MAMA GABY HAWA HAPA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
   Pichani:Kushoto Mama Misana aka Mama Gabi,Katikati Japhet(Mgeni) na Kulia Mama Nzile sile aka Mama Ben! Na hapa hawakuiona Kamera ...
  
Pichani:Kushoto Mama Misana aka Mama Gabi,Katikati Japhet(Mgeni) na Kulia Mama Nzile sile aka Mama Ben!

Na hapa hawakuiona Kamera nilipo Jaribu kukaa vizuri ili niwachukue wali geuka na kuikimbia...
Eti Hawaja vaa vizuri! Ha ha haa Sina Mbavu mimi.
Na huu Utamaduni wa Kuvaa Vizuri kwenye Picha Unapoteza uhalisia wa Picha zangu nyingi sana.Kila mtu kwenye Picha anataka aonekane amevaa vizuri!

Kwa Niaba ya Familia ya Mama Beny Naomba nimshukuru mama Gabi(Wa kwanza Kushoto) kwa Msaada wa Hali na mali alio utoa kwa kufanikisha kuwezesha ndoto za Theofrida wa mama Beni.
Hakika umeonesha kua sisi ni Familia Nafasi na Upendo wako wa dhati Hauta kaa usahaulike kamwe ndani ya Familia ya mama Beni/Theo! Wewe ni Mama pia;Nafasi hiyo unastahiri Ni matumaini yetu unatambua hilo ndio maana umetenda Wema wako wa ajabu.
Familia haina Zawadi yoyote kubwa itakayo onesha kuguswa na Wajibu wako Ulio uonesha zaidi ya Neno ASANTE.TUNA SEMA ASANTE.

Elasto Mbella
MJUMBE Sr
NJOMBE


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top