Unknown Unknown Author
Title: MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA(TCAA) WAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Inspekta    Mwanadamizi    Idara ya udhibiti Maswala ya Anga,Mutesigwa Mango ,akifafanua jambo    kuhusiana na ajira za Maarubani    na...
tcaa_3_0d39a.jpg
Inspekta  Mwanadamizi  Idara ya udhibiti Maswala ya Anga,Mutesigwa Mango ,akifafanua jambo  kuhusiana na ajira za Maarubani  na wahudumu wa ndege  hapa nchini  wakati wa mkutano na wahariri wa vyombo vya habari uliohusu  kanuni na taratibu za Mamlaka hiyo,Mkuatano huo ulifanyika katika hoteli ya Peacoco  jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Fadhili Manongi .Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Udhibiti  Masuala ya Anga Julius Kamhabwa.
tcaa_1_1bb4d.jpg
Afisa  habari wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bestina Magutu( kulia)akiwa tambulisha  Wakurugenzi wa Mamlaka hiyo kwa wahariri wa vyombo vya Habari nchini  katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya Peacoco jijini Dar es Salaam.ikiwa ni mahususi kwa wahariri vyomba mbalimbali nchini.
wahariri_3_4fd61.jpg
Baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari wakiwa katika mkutano  uliofanyika jijini Dar es Salaam ulioandaliwa na Mamlaka ya Usafiri  wa Anga Tanzania  ambao ulilenga kuwapa elimu juu ya shughuli zinazofanywa na mamlaka hiyo.

 Chanzo:Mjengwa blog
Mjumbe Jr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top