Unknown Unknown Author
Title: MJINI SHULE,HAPA NIKO NA WADAU NA PIA WAHANDISI WENZANGU KATIKA SHUGHULI ZETU ZA KILA SIKU
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha hapo juu ni katika matembezi ya hapa na pale na wenzangu wahandisi bomba na hapa tunakagua miundo mbinu ya maji hapa chuoni ...
Picha hapo juu ni katika matembezi ya hapa na pale na wenzangu wahandisi bomba na hapa tunakagua miundo mbinu ya maji hapa chuoni





















Hapa juu ni mwenzangu akiwa anatengeza tredi za bomba kama anavyoonekana pichani
Asante mwalimu wetu (jina limehifadhiwa)kwa kutupa elimu bora kwa njia ya vitendo
Ushauri kwa serikali elimu hii isiwe kwa Chuo kikuu pekee bali msingi uanzie katika ngazi za chini za elimu.
Mjumbe Jr
SOKOINE UNIVERSITY,MOROGORO

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top