Unknown Unknown Author
Title: TAZAMA PICHA HAPA:BASI LA SMART LAPATA AJALI NA KUUA WAWILI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ajali imetokeo ya bus la smart kutoka dar kwenda mombasa limepinduka na kwa taarifa nilizopa...
Ajali imetokeo ya bus la smart kutoka dar kwenda mombasa limepinduka na kwa taarifa nilizopata limeua wawili.

============================== ============================== ==

AJALI YAUA PWANI: Watu 2 wafa, 10 wajeruhiwa leo eneo la Mkata-Goba baada ya basi la Smart walilokuwa wanasafiria toka Dar - Mombasa kupinduka, Polisi wasema.


Basi la smart likiwa limepinduka eneo la Lugoba



Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amepoteza fahamu baada ya kupata mshtuko



Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi la Smart Asubuhi Ya leo.

Basi Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa Nchini Kenya Limeacha Njia Na Kupinduka na Kusababisha Vifo vya watu Wawili pamoja na Kujeruhi abiria wanaokadiriwa kufika 20.

Ajali hiyo imetokea katika Eneo la Mkata na Lugoba - Barabara Kuu ya Chalinze-Segera.
Chanzo:Jf

MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top