Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwasha Mwenge wa Uhuru wakati wa Sherehe za uzinduzi wa mbio za
Mwenge huo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba Mkoa wa
Kagera leo Mei 2, 2014. Mwenge huo unatarajia kuitimisha mbio zake
Oktoba 14 mkoani Tabora, ambapo zinatarajia kufungwa na mhe. Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Mwenge wa Uhuru, Kiongozi wa mbio za Mwenge Taifa, Rachel
Kasanda, baada ya kuuwasha rasmi wakati wa Sherehe za uzinduzi wa mbio
za Mwenge huo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba Mkoa
wa Kagera leo Mei 2, 2014. Mwenge huo unatarajia kuitimisha mbio zake
Oktoba 14 mkoani Tabora, ambapo zinatarajia kufungwa na mhe. Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete.
MJUMBE Sr
Post a Comment