Unknown Unknown Author
Title: AJIUA KWA RISASI:KIJANA MWENYE UTAJIRI,ARUSHA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
‪ Kijana matata Richard Mollel pesa chafu kajipiga risasi Arusha Yaani ndio nimetokea hapo kwake kwani ni ajabu kab...


#BreakingNews

Kijana matata Richard Mollel pesa chafu kajipiga risasi Arusha
Yaani ndio nimetokea hapo kwake kwani ni ajabu kabisa.Alikuwa na girl friend wake kwenye gari kufika eneo la Mount Meru akagonga Hiace kwa nyuma gari ikabonyea lakini yeye na mpenziwe wakatoka wazima bint anadai baada ya dakika km 2 akahisi kizunguzungu akaanguka chini kuja kushtuka anaona watu wengi na kijana naye kutoka hapo akatimka mpaka karibu na nyumbani kwake ndio kujipiga risasi na kufa.Sasa bint anaulizwa mlikuwa na ugomvi anasema wala yeye mwenyewe anashangaa kilichomkuta keshatoka mzima kwenye ajali kukimbia na kwenda kujiua.Ni kijana wa 86 yaani mdogo kabisa na ndio pesa imekubali na baba yake ni mgonjwa yuko hoi muda huo yenyewe alikuwa amepigiwa cmu na dada zake aende kumuogesha maana ni mtt pekee wa kiume na ndio alikuwa anaenda sasa hawajui ni kitu gani kilimkumba kuamua kujiua
#R.I.P #RichardMollel




Kijana matata Richard Mollel pesa chafu kajipiga risasi Arusha

Yaani ndio nimetokea hapo kwake kwani ni ajabu kabisa.Alikuwa na girl friend wake kwenye gari kufika eneo la Mount Meru akagonga Hiace kwa nyuma gari ikabonyea lakini yeye na mpenziwe wakatoka wazima bint anadai baada ya dakika km 2 akahisi kizunguzungu akaanguka chini kuja kushtuka anaona watu wengi na kijana naye kutoka hapo akatimka mpaka karibu na nyumbani kwake ndio kujipiga risasi na kufa.Sasa bint anaulizwa mlikuwa na ugomvi anasema wala yeye mwenyewe anashangaa kilichomkuta keshatoka mzima kwenye ajali kukimbia na kwenda kujiua.Ni kijana wa 86 yaani mdogo kabisa na ndio pesa imekubali na baba yake ni mgonjwa yuko hoi muda huo yenyewe alikuwa amepigiwa cmu na dada zake aende kumuogesha maana ni mtoto pekee.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top