Unknown Unknown Author
Title: MATUKIO PICHA:HEKAHEKA ZA UCHAGUZI WA RAIS WA WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA SOKOINE ZAPAMBA MOTO!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ni siku ya kwanza tangu kampeni za uchaguzi wa rais wa serikali ya wanafunzi Chui kikuu cha Sokoine Morogoro kuanza rasmi na haya ndio ya...

Ni siku ya kwanza tangu kampeni za uchaguzi wa rais wa serikali ya wanafunzi Chui kikuu cha Sokoine Morogoro kuanza rasmi na haya ndio yaliyojiri  jioni ya leo

  
Hapa moja ya wagombeaji wa nafasi hiyo akijiandaa kuondoka maeneo ya hapachuoni(MAIN CUMPOS) na kwenda maeneo ya Mazimbo kuendelea na kampeni zilizoanza leo jioni

  
Wapambe nao na harakati za hapa na pale kama inavyoonekana pichani

Kukiwa na upinzanimkali miongoni mwa wagombea wa nafasi hio ya urais na hapa(picha chini)ni mmoja wa wagombea hao.Huyu hapa anaitwa Mteri,Braka S kutoka main compas na mgombea mwenza wake Kivuyo Emmanuel
   
Endelea kuungana na mimi katika pilikapilika hizi za uchaguzi ili uweze kujua kinachojiri hapa Chuo kikuu Sokoine,Morogoro
JR

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top