Unknown Unknown Author
Title: KASUMBA YA KUHESHIMU VYEO,SUTI NA KIMOMBO YAMUCHEFUA JAMES ZOTTO! AKEREKA NA KUSEMA "VINA WATIA USHAMBA BAADHI YA WATU" INGIA HAPA USOME ZAIDI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
VYEO vinawatia ushamba baadhi ya watu. Utakuta mtu kafika sehemu ya starehe au hata si ya starehe, anakuta watu, anaanza kujitangazia, ...

VYEO vinawatia ushamba baadhi ya watu. Utakuta mtu kafika sehemu ya starehe au hata si ya starehe, anakuta watu, anaanza kujitangazia, eti oh mimi ni afisa wa Bunge au oh Mkuu wa Kikosi Cha Jeshi au Mkurugenzi.........Alafu lugha yake hovyo kabisa.Na sembuse mpo Bar, basi anawanunulia wahudumu wa kike bia, anajipatia maujiko. Unakaa jirani yake au pembeni, anakusemesha alafu uharo ili aonekane yeye ndo mfalme na hakuna zaidi yake!Sisi wengine tumezoea kutupia kawaida sana.Anafikiri ni mbumbumbu, kajambanani.Kwanini wabongo wanapenda kumheshimu mtu aliyepigilia suti au anaongea kifaransa au kimombo hata sehemu za kawaida na akadhani wengine walio wa kawaida hawana mishule.Mpaka akusikie na wewe unanyosha sentensi za lugha za kitumwa, ndo anaanza kunywea.Binadamu yeyote anapaswa kuheshimika,hata kama anahali gani.Kuweni wastaarabu.Vyeo huko makazini kwenu, nje ya hapo msifikiri wengine hawanavyo.Kwanini ujitangaze?Utu wako watosha kukuelezea wewe ni nani na si mbwembwe.Badilikeni.VYEO vinawatia ushamba baadhi ya watu. Utakuta mtu kafika sehemu ya starehe au hata si ya starehe, anakuta watu, anaanza kujitangazia, eti oh mimi ni afisa wa Bunge au oh Mkuu wa Kikosi Cha Jeshi au Mkurugenzi.........Alafu lugha yake hovyo kabisa.Na sembuse mpo Bar, basi anawanunulia wahudumu wa kike bia, anajipatia maujiko. Unakaa jirani yake au pembeni, anakusemesha alafu uharo ili aonekane yeye ndo mfalme na hakuna zaidi yake!Sisi wengine tumezoea kutupia kawaida sana.Anafikiri ni mbumbumbu, kajambanani.Kwanini wabongo wanapenda kumheshimu mtu aliyepigilia suti au anaongea kifaransa au kimombo hata sehemu za kawaida na akadhani wengine walio wa kawaida hawana mishule.Mpaka akusikie na wewe unanyosha sentensi za lugha za kitumwa, ndo anaanza kunywea.Binadamu yeyote anapaswa kuheshimika,hata kama anahali gani.Kuweni wastaarabu.Vyeo huko makazini kwenu, nje ya hapo msifikiri wengine hawanavyo.Kwanini ujitangaze?Utu wako watosha kukuelezea wewe ni nani na si mbwembwe.Badilikeni.
Imenakiriwa Kwenye Ukuta Wake Wa Fb

MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top