Mwanamuziki Jay-Z amefanikiwa kumtimua mlinzi wa mke wake Julius mara baada ya kuhisi ana uhusiano wa kimapenzi na mke wake.
Aidha, imechukua muda kwa Jay-Z kumfukuza mlinzi huyo kutokana na Beyonce kupinga vikali suala la kumfukuza. Vyanzo mbalimbali vimedai kwamba Julius alikuwa karibu sana na Beyonce ambapo imeelezwa kwamba wakiwa ziarani huwa wanakaa hotel moja na mlinzi wake suala lilizua hisia za wawili hao kuwa na uhusiano wa usiofaa.

MJUMBE Sr

Post a Comment