Pichani ni Gari iliyo sababisha ajali Hiyo ikiwa Pembeni kidogo mwa Barabara eneo ambalo ajali hiyo imetokea.
Picha Kijana ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa amezongwa na kundi la wana nchi walio mkamata baada ya kujaribu kukimbia.
Pichani Dereva anaye tuhumiwa kusababisha ajali akiwa anasindikizwa na Raia wema na Mgambo aliye jitolea ili kunusuru uhai wake.
Pichani Dereva akiwa anafikishwa Kitua cha Polisi Mlowo na Wananchi kwa kusababisha ajali,mji mdogo wa Mlowo.
Tukio hilo la ajali limetokea Leo mida ya Saa Tano Maeneo ya Stendi ya Magari aina ya Noah ambayo hufanya Safari zake MLOWO~VWAWA.Dereva huyo ambaye hakufahamika mara moja jina lake alisababisha ajali hiyo alipo kuwa akijaribu kukata kona ili alipaki vizuri gari lake nje ya barabara kuu ya Mbeya~Tunduma.Dereva huyo hufanya Safarai zake Kamsamba/Nambinzo~Mlowo amepatwa na maswahibu hayo alipo kuwa akiingia Mji mdogo wa Mlowo akitokea Kamsamba.Gari lililo sababisha ajali ni aina ya Fuso lenye namba za usajili T 678
AYP lililo kuwa likiendeshwa na kijana huyo.Walitoa Maelezo hayo watu walio kuwa eneo la tukio na Mashuhuda wa ajali hiyo.
Picha:Na Kamera Yetu
MJUMBE Sr
Post a Comment