Unknown Unknown Author
Title: MHUHIMU:JIONI YA LEO NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ZITA WASIRISHA BAJETI ZAO ZA 2014/2015!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
 Pichani Juu:Saada Mkuya Ambaye ni waziri wa Fedha wa Tanzania MUHIMU;.. LEO JIONI NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ZITAWASILISHA BAJETI ZAO Z...
 Pichani Juu:Saada Mkuya Ambaye ni waziri wa Fedha wa Tanzania

MUHIMU;.. LEO JIONI NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ZITAWASILISHA BAJETI ZAO ZA 2014/2015;
Nchi za Afrika Mashariki leo zinawakilisha bajeti zao za serikali kwa mwaka 2014-2015 katika Mabunge yao, chini ya utaratibu waliojiweka wa kuwakilisha Bajeti hizo katika siku moja huku Mbeyafm Redio tutakuletea Matangazo ya Moja kwa Moja kutokea Bungeni, Dododma kwenye Shughuli hiyo.
>> Nchini Tanzania Waziri wa Fedha wa Tanzania, Saada Mkuya atawasilisha bajeti ya trilioni 19.6 katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
>> Nchini Kenya Waziri wa Fedha wa Nchi hiyo Henry Rotich atawasilisha bungeni Jijini Nairobi bajeti ya mwaka 2014/2015 ya shilingi trilioni 1.8 za Kenya ikiwa ni bajeti kubwa katika historia ya nchi hiyo.
>> Huko Uganda Waziri wa Fedha Maria Kiwanuka naye hii leo atawasilisha bajeti ya serikali ya mwaka 2014/2015 ya shilingi trilioni 14 za Uganda katika bunge la nchi hiyo huku kipaumbele kikiwa ni miundombinu.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top