ajaLi ya iliyotoke majira ya saa 1 na
nusu
jirani na baa ya samaki Samaki barabara kuu ya Morogoro -Dodoma,ambapo
dreva wa Lori hii alibanwa vibaya jambo lililopelekea wananchi kuvunja
mlango wa gari hilo na kumchomo,Kwa
Rehema za Mungu hadi anachomolewa dereva huyo alikuwa mzima ingawa
aliumia viba baada kuvunyika sehemu nyingi katika mwili wake.
Ajari
ya kwanza ilitokea majira ya saa 12 jioni eneo la Kiwanda cha Sabuni
cha Komoa barabara kuu itokayo Msavu kuingia katikatika ya Mji wa
Morogoro,ambapo dereva wa bodaboda na abiri wake waligongwa na Lori na
kufa papo hapo.
Askari wa Usalama Barabarani akiwa eneo la ajali
Wakati
ajali hiyo inatokea huku wakitu wakihangaika kuvunja mlango na
kumchomoa dereva watu walikodi gari hilo waligoma kushuka kwa lengo la
kulinda mzigo wao baada ya kushuhudi umati mkubwa wa watu ulijitokeza
kwenye ajari hiyo muda huo wa usiku
Moja ya gari ndogo iliyogongana na
Centa hiyo,ambapo mashuhdua wa tukio hilo walisema kwamba ajari hiyo
ilihusihsa magari matatau
Damu zilitapakaa eneo hilo la dereva
picha na Dustan Shekidele,Morogoro
MJUMBE Sr
Post a Comment