Unknown Unknown Author
Title: PICHA ZIKIONESHA SOKO LA KARUME LIKITEKETEA KWA MOTO USIKU HUU!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mabanda ya wamachinga eneo la Soko Karume yanaungua na moto. Habari zaidi zitafuata. Moto bado ni mkali, unazidii kusambaa na sasa...


Mabanda ya wamachinga eneo la Soko Karume yanaungua na moto. Habari zaidi zitafuata.

Moto bado ni mkali, unazidii kusambaa na sasa unaelekea Breweries. Usipothibitiwa Mapema utaleta athari kubwa sana.

Hali bado ni tete, Fire walifika katika eneo la tukio na sasa wanaondoka bada ya kukubali kushindwa, hakuna wanachoweza kuokoa.

Nguzo za umeme zinaungua pia.

Kuna umati wa watu mkubwa, baadhi wanalia kwa uchungu wakiwa wamejishika kwa kukata tamaa.

========
Aliye Nukuliwa anasema
Nimetoka Kariakoo napita mitaa ya Karume moto umeshika kasi, njia haipitiki kwa gari imenibidi kuzungukia Halmashauri Ya ILALA




MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top