Bondia
Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi
baada ya kumtwanga bondia Mzambia Mwansa Kabinga kwa t,k,o ya raundi ya
tisa mwishoni mwa wiki iliyopita na kufanikiwa kunyakuwa ubingwa wa
WPBF Africa upande wa vijana picha kwa niaba ya www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipeperusha vema bendera ya taifa

Bondia
wa Zambia, Mwansa Kabingakushoto akioneshana umwamba na Ibrahimu Class
'King Class Mawe' wa Tanzania wakati wa mpambano wao wa kugombania
ubingwa wa WPBF Africa mchezo uliochezwa ,Arthur Davis Stadium, Kitwe,
Zambia ambapo King Class Mawe alishinda kwa TKO ya raundi ya tisa na
kufanikiwa kuibuka na ubingwa huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia
wa Zambia, Mwansa Kabingakushoto akioneshana umwamba na Ibrahimu Class
'King Class Mawe' wa Tanzania wakati wa mpambano wao wa kugombania
ubingwa wa WPBF Africa mchezo uliochezwa ,Arthur Davis Stadium, Kitwe,
Zambia ambapo King Class Mawe alishinda kwa TKO ya raundi ya tisa na
kufanikiwa kuibuka na ubingwa huo picha na www.superdboxingcoach.
MJUMBE Sr
Post a Comment