Unknown Unknown Author
Title: PICHA;KITUKO KINGINE CHA MBOZI NI HIKI:AVULIWA VIATU KWA KULA "KITIMOTO" BILA KULIPA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha iliyo naswa na kamera yetu na mudau alipo kuwa akikatiza mitaa ya Mlowo kijana ambaye Jina lake haliku patikana mara moja akiwa am...
Picha iliyo naswa na kamera yetu na mudau alipo kuwa akikatiza mitaa ya Mlowo kijana ambaye Jina lake haliku patikana mara moja akiwa ame angushwa Chini Akivuliwa viatu na Wahudumu baada ya Kuagiza Chakula na Kukataa kulipa,Huku akiwa anaondoka na kuwa mwagia mvua ya matusi walio muhudumia.
Pichani Mwenye Kaushi au Singlendi ni Muhudumu aliye julikana kwa Jina Moja la Chesko,aliye muhudumia Mteja wake na akagoma kumlipa.
Mwenye Shati ya Njano ni Mteja amabaye baada ya kuiona kamera Yetu aliamu kukimbilia Bar iliyo kuwa jirani akiwa peku huku akishuhudiwa na Umati wa Watu walio Jitokeza Kumshangaa.

Picha:Viatu alivyo Vuliwa Mteja aliye goma kulipa bili yake

Kibonzo hiki Kamera yetu imekutana nacho Mitaani Muda huu,ambapo mdau wetu alishuhudia mteja huyo akiwa amezidiwa nguvu na muhudumu huyo aliye onesha ubabe wake kwa kumu kamata Mteja huyo aliye onsha kila dalili kuwa hayuko Tayari kulipa Bili yake na Kujibu Jeuri na kwa kejeri kabla hajakutwa na Zahama hiyo iliyo mfanya aonekane si tu Kituko bali mjanja wa Kizamani na Anaye Dharau kazi za vijana wenzake walio amua Kujiajiri kwa kutoa Huduma ya Chakula kwa Jamii.
 Picha zote na Kamera Yetu

MJUMBE Sr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top