Unknown Unknown Author
Title: PICHA:WASAILIWA WA UHAMIAJI WALIVYO FURIKA UWANJA WA TAIFA:KWELI HILI NI BOMU...! LAKINI PIA NI KETE NA FURSA PEKEE YA WANASIASA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Na:Mitazamo huru Hawa ni sehemu ya wadau kutoka sehemu mbalimbali ya nchi zaidi ya 10,000 waliofika asubuhi hii katika Uwanja...
Na:Mitazamo huru

Hawa ni sehemu ya wadau kutoka sehemu mbalimbali ya nchi zaidi ya 10,000 waliofika asubuhi hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kwa ajili ya usaili wa kazi katika Idara ya Uhamiaji, kuwania nafasi takriban 70 zilizotangazwa.

Usicheze Na Kazi Waungwana Cheza Na Mshahara Huu Umati Unaeza Sema Wameenda Kuchek Mechi Ya Bongo Movies Na Bongofleva La Hasha Hao Nivijana Wenye Digrii Zao Wameitwa Kwenye Usahali Uhamiaji Sasa Eneo Limekuwa Dogo Wakahamishiwa Uwanja Wataifa Dah Hali Nimbayaa Wallah.
 
MANENO YANGU:USININUKUU TAFADHARI!
Kweli Ukosefu wa ajira ni zaidi ya Bomu...! Lakini pia ni Mtaji kwa baadhi ya wanasiasa.Wazazi,Jamii na Serikari ni wajibu wetu Kuhakikisha Vijana wetu wana Pewa Fursa katika Elimu kwa Vitendo na Elimu za Kujitegemea Zaidi.
ELASTO MBELLA
 
MJUMBE SR
 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top