Unknown Unknown Author
Title: TAARIFA RASMI:KUHUSU NDEGE ZINAZO VINJARI ZIWA NYASA IMETOLEWA LEO BUNGENI;INGIA USOME HAPA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
 Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe Habari zilizopatikana hivi punde kutoka bungeni Dodoma  ni kwamba ndege ...




 Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe


Habari zilizopatikana hivi punde kutoka bungeni Dodoma  ni kwamba ndege tatuzinazovinjari upende wa Tanzania katika Ziwa Nyasa ni za Tanzania zilizokodiwa na Serukali ya Malawi kwa ajili ya utafiti wa kijiolojia.

Taarifa hiyo imetolewa ma Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, bungeni Dodoma asubuhi hii, baada ya Mbunge wa Ileje, Aliko Kibona kuitaka Serikali kutoa taarifa sahihi juu ya suala hilo, kwani zimekuwa zikiwatia hofu wananchi waishio mpakani na Malawi.

Amesema kuwa ndege hizo zimekodiwa  kutoka Dodoma Tanzania na kwamba zimepata vibali vyote kutoa  Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).

Mwakyembe, amewapongeza Watanzania kwa kuwa na uharaka wa kutoa taarifa kwenye vyombo vya dola kwa jambo lolote wanalolitia wasiwasi kama hilo
Endelea Kutu Tembelea Mtandaoni kwa Kuandika Neno MJUMBE BLOG na Kuingia Hapo ili Kupata Habari Mpya Mara kwa Mara.
 
mjumbe sR

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top