uesday, 20 May 2014
PIONEERS INAWAHUSU SANA HII!
Picha ya Kumbukumbu baadhi ya Pioneers Walipo kutana Ikomela Kumsindikiza God(RIP) Na Maktaba Yetu
Picha Nyingine
Picha Zaidi
KIKAO,KIKAO,KIKAO,KIKAO KIKAO
Ndugu wadau,mnatangaziwa kua kutakua na kikao siku ya alhamisi tarehe 19/06/2014,kikao kinatarajiwa kufanyika ktk eneo la shule ya sekondary Simbega.Lengo la kikao ni kujadiliana ni jinsi gani tuboreshe umoja wetu,pia tunawakaribisha wenye ajenda mbalimbali waziwasilishe kupitia namba zifuatazo 0752181161(Alex Kakyela),0757358872(Given Msyete),0764510249(Athanas Ndosite),au comment hapa.

Mratibu wa Kikao Hicho ndugu Alex Kakyela alikaririwa na Mtoa Habari wetu kwenye Ukurasa wa kundi la Simbega Pioneers akisema
"Jamani
kuhusiana na kikao tumekubaliwa kufanyia kikao hapa Simbega tarehe
husika ni ileile na barua yetu ilishapitishwa tangu tarehe
02/06/2014.Kazi iliyobaki ni kuhudhuria na kuleta hoja zenye manufaa kwa
wanajamii husika."
Zaidi alieza kuwa
"Kila kitu kipo sawa kuhusiana na kikao,mkuu wa shule alishatoa baraka
zake na kuruhusu kikao kifanyike tarehe tuliyoomba (19/06/2014.Tafadhari
hudhuria ili tusaidiane kujenga hoja zitakazotupelekea kufikia lengo
letu".
NB;Sambaza ujumbe huu kwa wadau wote wa Simbega kwa njia ya simu maana ni wachache wanaotumia mitandao ya kijamii.
Kumbuka Historia Haisahauliki wala haifi kamwe;Kikao Kitakacho Fanyika Kesho ni Jambo la Kihistoria Kwakwo na Jamii husika Hivyo Basi kwa hali na mali Unaombwa Utenge Muda wako wa Thamani ambao hauta ujutia Kamwe maishani mwako ili ujumuike na Familia Moja ya SIMBEGA PIONEERS.
Asente;
Wenu Muhabarishaji
MJUMBE Sr
UJUMBE HUU UNAPO KUFIKIA MWAMBIE NA MWENZAKO! PIA UNAWEZA UKA SHARE ILI WENGI WAUPATE UJUMBE MAPEMA NA WAJIANDAE PIA.
Post a Comment