Unknown Unknown Author
Title: TANGAZO:MBEYA CITY YATOA NAFASI KWA VIJANA WENYE KIPAJI CHA MPIRA LEO UWANJA WA SOKOINE,MBEYA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
TAARIFA KUTOKA MBEYA CITY FC; Mbeya City FC inatangaza Nafasi kwa vijana wenye uwezo Vipaji vya kucheza Mpira wa Miguu kujitokeza leo (ta...
TAARIFA KUTOKA MBEYA CITY FC;
Mbeya City FC inatangaza Nafasi kwa vijana wenye uwezo Vipaji vya kucheza Mpira wa Miguu kujitokeza leo (tarehe 25/6/2014) saa kumi kasorobo pale uwanja wa Sokoine ili kujiunga na Mazoezi.... Vijana wanaotakiwa ni wale wenye umri kuanzia Miaka 17 mpaka 22.

 Kama Unahitaji Kupata Habari na Matukio yanayo Jiri Mara kwa Mara Nchini na Ndani ya Nchi na nje yetu Tutembelee Mtandaoni kwa Kuandika Neno MJUMBE BLOG Ingia Hapo au LIKE Ukurasa Wetu wa Facebook Wenye Jina La MJUMBE BLOG.
MJUMBE SR

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top