HONGERENI WALIMU;
Maendeleo si lazima mji uwe na jengo lenye Ghorofa 100.! Leo Mbeya kupata jengo la kwanza lenye lift... Jengo hili linapatikana eneo la Sokomatola na linamilikiwa na Chama Cha Walimu Nchini (CWT).
Jengo hili lina Urefu wa Ghorofa tano ambalo limejengwa na Suma-JKT kwa gharama ya Tsh. Bilioni 1.4 kutoka Chama cha Walimu (CWT).

Post a Comment