Unknown Unknown Author
Title: LORI LAIPALAMIA BUS LA ABIRIA AINA YA TOYORA COSTA MLOWO MBOZI NA KUIPIGA PASI...!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Accident hiyo imetokea maeneo ya stand ya kwenda Tunduma ambapo chanzo chake ni kukosa umakini kwa dereva wa bus la abiria ambaye alikua ana...

Accident hiyo imetokea maeneo ya stand ya kwenda Tunduma ambapo chanzo chake ni kukosa umakini kwa dereva wa bus la abiria ambaye alikua anatoka bila kuangalia gari linalokuja na kusababisha accident hio. Ashukuriwe mwenyezi abiria wote waliokua ndani ya basi hilo wamesalimika.

Picha Zote na MJUMBE BLOG

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top