KAZI NA DAWA:"TUNGURI NJE NJE" WAFANYA BIASHARA WA MAKAMBAKO NA DHANA YA USHIRIKINA!
Jamaa akiwa anapasua tunguli na shoka huku panga likiwa pembeni.
Wakazi wa mji mwema makambako pichani wakiwa wamekusanyika katika eneo la tukio hilo mezani ni tunguli a.k.a (Kipembe)
Mathiass Canal,Makambako
Mama mmoja (jina tunalihifadhi) mkazi wa makambako amekutwa akifanya biashara huku pembeni yake chini ya meza ya mbogamboga kukiwa na Hirizi/tunguli kwa ajili ya kuvutia wateja, hata hivyo mama huyo alipotafutwa na kwanza jamii ili kuzungumzia tukio hilo hakuweza kupatikana hiyo ni baada ya wananchi kuzingira sehemu yake ya kazi.
Post a Comment