PICHA NA MATUKIO KUTOKA VIJIJINI:KAZI NI KAZI KIBAYA KUIBA CHA MTU!
Pichani ni Mzee Aliye Kuwa akitembeza Vyungu Mtaani Katika Kijiji Moja wapo nchini Tanzania
Pamoja na Changamoto Nyingi zinazo wakabiri Wananchi Wengi Waishio Vijijini,Lakini Maisha Bado yana Endelea.....
Utafiti Unaonesha Kuwa Nguvu kazi ya Taifa Ambao kwa Kiasi kikubwa ni Vijana,Imepoteza Muda Mwingi Katika Miji Mbalimbali Huku Wakiwaacha Wazee wao Vijijini Ambao Mpaka Leo Bado wana Tumia Jembe la Mkono,Hawana Huduma Za Uhakika Katika Afya,Barabara,Maji na Hata Nishati ya Umeme.
Zawadi Kubwa Waliyo Nayo ni Urithi na Ulinzi wa Aridhi ya Nchi Yetu ambayo Kutokana na Changamoto nyingi Zinazo Kikabili Kilimo Chetu na Ubunifu wa Matumizi MEngine ya Aridhi Kwa Manufaa ya Kilimo,Mpaka Leo Haija Endelezwa.
Jambo ambalo Lime wasukuma Wazee na Wazazi wa Weni Kujaribu kuwa Wabunifu kwa Kuendeleza Shughuri za Mpito na Mtambuka ili wajiingizie Kipato chao.
Rai Yetu Kwa Serikari ni Kurudisha Vijijini Huduma za Msingi na Kutengeneza Fursa za Kibiashara na Ajira Zaidi ili Kuwarudisha Kwa Hiari Vijana Walio amua Kukimbilia Mijini ili Kusaka ajila na Kazi zenye Tija Zaidi.
MAELEZO NA picha
MJUMBE WETU
KIJANA ANAYE ISHI KIJIJINI
Post a Comment