Unknown Unknown Author
Title: PICHA;HIVI NDIVYO HOOD LIME NUSURIKA KUUA ABIRIA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Raia wakishuhudia ajali ya basi la Hood ilivyotokea. Na waandishi wetu Basi la Hood lililokuwa likitoka Arusha kwenda Iringa llimepata a...
Raia wakishuhudia ajali ya basi la Hood ilivyotokea. Na waandishi wetu Basi la Hood lililokuwa likitoka Arusha kwenda Iringa llimepata ajali asubuhi ya leo eneo la Kikatiti, Arusha. Basi hilo lilitaka kugongana uso kwa uso na lori la mizigo, ndipo katika kukwepana ikatokea ajali hiyo. Abiria wa basi wamenusurika , ila lori lilidumbukia darajani na hakukuwa na mtu aliyepoteza maisha.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top