Unknown Unknown Author
Title: PICHA:KUMRADHI PICHA SIO ZA KIMAADILI:MAJAMBAZI YA UA MME NA MKE NA KUMJERUHI MTOTO!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Watu wanne wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevamiana kuwaua Mume na Mke na kumjeruhi Mtoto mchanga mwenye umri wa miezi 4 aliechwa na Mam...
Watu wanne wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevamiana kuwaua Mume na Mke na kumjeruhi Mtoto mchanga mwenye umri wa miezi 4 aliechwa na Mama yake aliyeuliwa katika tukio lililotokea Kijiji cha Murvyagira wilayani Ngara mkoani Kagera Ijumaa ya Agost 08,2014. Kwa mujibu wa Mtoto wa Marehemu amesema majambazi hao walivamia nyumbani kwao majira ya saa 3 usiku ambapo walitumia panga na jembe kuwaua Baba na Mama yake na kisha kuwapora Maharage gunia moja,Radio,Gunia la Karanga,Mabati na Fedha vitu ambavyo hadi sasa Thamani yake huku wahalifu hao wakitokomea kusikojulikana. Aidha baadhi ya wananchi walioongea na Blog ya Mwanawamakonda,wameomba juhudi ya kuimarishwa hali ya usalama na ulinzi wilayani Ngara izidishwe hasa wakati huu ambako matukio ya mauaji yamezidi kujitokeza.
....Mwili wa Mwanaume ukiwa eneo la tukio baada ya Kuawa kwa kukatwa Mapanga na watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi.
....Mwili wa Mwanamke ukiwa eneo la tukio baada ya kuuawa na Mama huyo ameacha Mtoto mchanga mwenye umri wa miezi 4 aliyejeruhiwa na watu hao wanaodhaniwa ni majambazi. UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0752025002

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top