TASWIRA PICHA KUTOKA KIJIJINI: "KWETU PAZURI"
Pichani ni Moja ya Vijiji nchini Tanzania Kama Kilivyo kutwa na Mshika Kamera wa MJUMBE BLOG
Naam Kuna Mazingira Mengine ni Kivutio hata kuya tazama tu......
Tazama Makazi haya Yalivyo Geuka Kivutio....
Japo Walio Kosa Imani na Udharendo Wapo Mbioni Kuziteketeza
Kama Tusipo Kuwa Makini Misonge Kama Hii Tuta Ishia Kuiona Kwenye MAKTABA ZA MJUMBE BLOG Tu Maana Baada ya Miongo Kadhaa Ijayo Itakuwa Imesha Toweka Katia Uso wa Nchi Yetu! Kwani Wengi wetu Bado Tuna Zile Mentality za Kikoloni Tuna Amini Makazi na Majengo Mazuri ni Kama Yale Majengo wa WTC New York Marekani,Tuna Poteza Uhalisia Wetu Kwa Kuimarisha Uhalisia wa Wenzetu.
Rudi Uitazame Tena Picha Hii!
Sisi Ndio Hao.
Post a Comment