UTATA WA URAIA PACHA:MJENGWA AUKANA URAIA WA SWEEDEN KWA UTHIBITISHO YEYE ASEMA "MIMI SIO RAIA WA SWEEDEN"
Ndugu zangu,
Kuna leo na kesho. Naweka hapa taarifa hizi muhimu maana kuna leo na kesho. Nimesoma mitandaoni ikipotoshwa kuwa mimi ni raia wa Sweden.
Si kweli. Na inathibitishwa hapo juu kuwa hata mwaka huu wa 2014 nimesafiri kwenda Sweden kwa kuomba viza. Anayekwenda kwenye nchi ya uraia wake haombi viza.
Hata kama kuna watakaokuja kurudia uongo wa jana, lakini hapa nimeweka ukweli. Naamini kuna watakaokuja kunitetea kwa ushahidi, hata kama sitakuwepo duniani.
Good morning.
Maggid.
Post a Comment