Unknown Unknown Author
Title: HII HAPA NI HABARI NJEMA KWA WADAU:WAZEE WA KAZI SWEETHOME REAL ESTATE "call it Home" WAMEKUJA NA TAARIFA MPYA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Habari njema kwa wale wadau na Kwa kila mwananchi mwenye ndoto ya Ujenzi wa nyumba Bora SWEET HOME REAL ESTATE "Call it Home" a.k...

Habari njema kwa wale wadau na Kwa kila mwananchi mwenye ndoto ya Ujenzi wa nyumba Bora SWEET HOME REAL ESTATE "Call it Home" a.k.a Wazee wa kazi Wanayo furaha Kuwa Tangazia wateja wao wa pwani na Dar es salaam ambao mara kwa mara wamekua wakiuliza kuhitaji huduma!
SWEETHOME REAL ESTATE "Call it Home" Wamefungua Tawi jipya Maeneo ya kijito nyama plot 45.c Makumbusho Opposite na Safina Hotel Wasiriana na mwakilishi Edwine Mengi kwa 0763175748.



Pichani ni Moja ya Picha ya Ukumbusho ya pamoja mwakilishi wa
"Wazee wa kazi" SWEETHOME REAL ESTATE CALL IT HOME Ndg Albert Chenza akiwa na Public figure mwenzake Tino wa Bongo Movie.

SWEETHOME REAL ESTATE NI AKINA NANI:Hii ni Kampuni inayo jishughulishana ujenzi wa Nyumba bora za makazi!
Jamaa pia wana husika na uuzaji wa viwanja visivyo na mgogoro na vilivyo pimwa!
Zaidi ya yote wanaweza kukusaidia msaada wa kiushauri na kiutaratibu wa jinsi ya kupata huduma za upimaji wA viwanja! 
posted from Bloggeroid

About Author

Advertisement

Post a Comment

  1. i never know the use of adobe shadow until i saw this post. thank you for this! this is very helpful. sweethome

    ReplyDelete

 
Top