Unknown Unknown Author
Title: KUHUSU VURUGU ZILIZOJIRII KWENYE SHOW YA DIAMOND PLUTNUMZ UJERUMANI,SOMA HAPA UONE JINSI DIAMOND ALIVYOFUNGUKA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Hii ni moja kati ya stori zilizomake headline kwenye tasnia ya muziki wa Tanzania kuhusiana na Staa wa Muziki wa Bongo fleva Diamond Plutnu...

Hii ni moja kati ya stori zilizomake headline kwenye tasnia ya muziki wa Tanzania kuhusiana na Staa wa Muziki wa Bongo fleva Diamond Plutnumz kwenye vurugu zilizotokea huko ujerumani kwenye show aliyoenda kuifanya.
Kilichotokea ni kwamba Promota alimpeleka Diamond ukumbini kulikofanyika show saa 10 alfajiri badala ya saa nne usiku.Ni nini kilimchelewesha?Na ni nini kilichotokea baadae?Hivi ndivyo alivyofunguka Plutnumz kwenye Exclusive na Clouds FM
1.Mpaka sasa hivi nashindwa kutambua tatizo lilikuwa ni nini,Siamini kama tatizo lilikuwa na hela,balance iliyokuwa imebaki ilikuwa ni EURO 3500 ambayo ni zaidi ya sh milion 7 za kibongo na ninavyojua mapromota wengi wa nje wanafanya biashara ya vinywaji ambayo inawalipa zaidi kuliko hata viingilio so nahisi walivuta muda ili waweze kuuza vinywaji zaidi
2.Walinifata wanipeleke kwenye kwenye mishale ya saa 9 usiku na hawakua na hela yangu iliyobaki,nikawaambia siendi kokote mpaka wamalize kunilipa.Walikua na EURO 1500 na mimi nilikuwa nawadai 3500 so wakaifuata na ndo tukaenda ukumbini


Tulifika kwenye show saa 10 kasoro kweli hata kama ningekuwa mimi shabiki ningekasirika,wengine walilipa zaidi ya laki moja na walitoka kwenye miji na nchi jirani,iiliwaambia wanipeleke nikafanye show ndani japo tulikuta watu wengi nje,mapromota walikuwa waogawaoga kunipeleka ndani.
4.Nikakuta watu wengi nje na vurugu nikawaambia wanipeleke nikapige show ndani maana igewatuliza watu baada ya kuimba nyimbo kadhaa coz ni vitu ambavyo tunakutana navyo kwenye shughuli hizi lakini wakawa waogawaoga.Askari wa ujerumani walikuja karibu gari 7 na mtiti ukazidi kuwa mkubwa.
5.So dakika ya mwisho tukaona hapashikiki na ndipo wakaamua kunirudisha hotelini.Nilisikitika sana kwa sababu nilikua nimejipanga vizuri na ilikua ni mara yangu ya kwanza kupaform pale stuttgart na watu walikuwa na ham kubwa kuniona na nasikitika haikuwezekana ila Octoba hii tutafanya shoe nyingine palepale na Mapromota wameshatuma hela nyingine kwa ajili ya show hiyo.

Chanzo:Dj sek
Na Mjumbe Jr

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top