Gabrie Misana Mdau mwenza wa MJUMBE BLOG akiwa sokoni Asubuhi ya leo,Mlowo
Na hapa ana uliza bei ya nyanya pia ili kujua bei halisi ya viungo katika soko leo
Msimu wa Sikukuu una mengi hata bei za viungo hupanda kwa kasi....
Asubuhi ya leo sokoni bei ya viungo ni ya kawaida tu kama zamani.
Tusubiri bei mpya siku za usoni.
Picha Na Mdau wa MJUMBE Blog
Mbeya
Mlowo


Post a Comment