Kufuatia hatua ya Waziri wa Nisha
na Madini Ndugu Sospeter Muhon
kujiuzulu katika nafasi hiyo y
uwaziri, mwenyekiti wa kamati
Bunge ya Hesabu za Serikali Mh Zit
Kabwe amepongeza uamuzi huo wa Pr
Muhongo ambapo amesema kuwa hat
hiyo ni heshima kubwa kwa bunge.
"Napenda kuchukua nafasi hii kutamb
busara aliyochukua ambayo naami
itasaidia harakati za kujen
demokrasia yenye uwajibikaji.
"Naamini uamuzi wa Ndugu Muhon
umewezesha kulinda heshima ya Bun
na maazimio yake. Kwa muda mfu
alioongoza Wizara hiyo, Ndugu Muhon
ameweza kuongoza mabadiliko kadh
muhimu ya kiutendaji katika wiza
hiyo na taasisi zake.
"Hata hivyo, nafasi ya Wiza
aliyokuwa anaongoza katika suala
Tegeta Escrow imemtia doa kub
ambalo ilikuwa lazima awajibike.
"Naamini Rais Kikwete atamteua m
mchapakazi na makini zai
atakayeweza kuendeleza yale mazuri
Ndugu Muhongo na kurekebis
mapungufu yaliyojitokeza." Amese
Zitto kupitia ukurasa wake
Facebook.
Baadhi ya Maoni kutoka Kwa wadau mbali mbali:
Mimi Mwanakijiji;
"...Kutoka chungu kile kile chenye mboga
iliyochacha unaweza vipi kutoa mboga tamu?
Tatizo siyo sura...mbona tumeshazibadilisha
mara nyingi...??"
Mhe.Tundu Lissu
BREAKING NEWS: Waziri Wa Nishati na Madini
Profesa Sospeter Muhongo AMEJIUZULU nafasi
yake leo.
UBABE WA LEMA NA NASSARI UMEZAA MATUNDA
SIKU CHACHE TANGU MBUNGE WA ARUSHA
GODBLES LEMA KUTANGAZA YA KWAMBA TAREHE
27 ATAMTOA BUNGENI KWA MABAVU WAZIRI
SOSPETER MUHONGO LEO KAAMUA
KUJIHUDHURU MWENYEWE KUGOPA BALAA...'
Tutembelee MJUMBE BLOG Mtandaoni kwa picha,Mtukio,Habari mpya,Taarifa muhimu kila mara.
Post a Comment