Unknown Unknown Author
Title: TANZIA:IME THIBITIKA;MSANII HUYU AMEFARIKI DUNIA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kume kuwepo na taarifa zinazo tatanisha kuhusu afya ya aliye wahi kuwa Msanii maarufu nchini Nigeria,Muna Obikwe's;Lakini sasa taarifa ...

Kume kuwepo na taarifa zinazo tatanisha kuhusu afya ya aliye wahi kuwa Msanii maarufu nchini Nigeria,Muna Obikwe's;Lakini sasa taarifa zilizo thibitisha zina sema kuwa Muna Amefariki kwa matatizo ya figo aliyo kuwa aki ugulia katika hospitali moja jijini Lagos.Mpaka umauti unamfika Muna amekua miongoni mwa wasanii mwenye uwezo wa kipekee...
Kuna taarifa kuwa kifo chake kimetokana na kutokuwa na uwezo wa kulipia matibabu,ambapo kuna mipango ya kuomba michango ilikuwa ikifanyika lakini umauti ume mfika kabla ya kutimiza hilo....

Tembelea MJUMBE BLOG Mtandaoni Kwa picha,Matangazo,Habari mpya,Taarifa muhimu


Soma Zaidi:


There has been some confusion over
the death of Nollywood actor, Muna
Obikwe’ s death but it has now been
confirmed. The actor was said to have
died of kidney failure in an undisclosed
hospital in Lagos on Sunday .
Until his death , the Enugu based actor
was one of the controversial actors in
the Nigerian movie industry.
Muna , who has a knack for acting
romantic scenes , once came under
attack for grabbing fellow actor , Biola
Ige ’ s breast, in the movie , Pregnant
Hawker .
His colleagues –Mike Ezuruonye ,
Empress Njama , Nonso Diobi – have
confirmed his death .
The AGN president , Ibinabo has
confirmed it too .
The renowned actor passed on today in
Festac after a silent battle with Kidney
disease .
He was rushed to the hospital after a
relapse and didn’ t make it .
Unconfirmed reports further reveal that
the death is directly linked to his
financial state . Muna , reportedly could
not afford his medical procedures due
to his poor finances , and had plans to
put together a stage play for
fundraising .
He rejected the opportunity to go
public with his condition , and seek
support from concerned people .
Actress Yvonne Jegede wrote , “Some
times i wish we don ’ t take some things
for granted . Been calling and his phone
is switched off . I wish i could have a
short chat with you now . I wish i could
just see you one more time . My friend ,
my colleague , my boss , my senior, my
GUYYYYYY … Tears won ’ t stop , my
heart beating faster, Bless the day i
met you, bless your soul , bless your
family you left behind. # nollywoodactor
# nollywoodhulk #nollywoodlover
# nollywoodworker # sabiguy REST IN
PEACE MUNA OBIEKWE
# WeLoveMunaObiekwe ”

posted from Bloggeroid

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top