
Mwite B! Itoshe

Mi nangoja ageuke

Brandy akiwa kwenye hey dayZ zake

Furaha ya kuzaliwa eti

Kuchafua meza kulihusika sana,siku hiyo
Salaam Brandina;
Nakutakia Kheri ya fanaka tele katika siku yako ya kuzaliwa Brandy!
Haina Ubishi ni Mu hot ati!!
Kwangu mimi Una B mbili #Beauty & #Brain Hii tu ni usumaku tosha wa kukufanya uwe vyovyote vile utakavyo taka uwe!! Hapo ni Mahitaji ya mind set yako tu!! na ukiongeza na magnetic personality yako MmmH you can hit it!
Umetimiza miaka kadhaa...
MUNGU akupe wepesi wa siku zako zijazo.
Wasalaam:
Elasto
Njombe.
MJUMBE BLOG
Tunakushukuru kwa kutupatia fursa ya kukuhudumia mtandaoni.
Kwa picha na Matukio tutembelee kila mara.
Post a Comment